Ninapokutamkia nakupenda usichukulie kiuwepesi mpendwaneno nakupenda kwangu limebeba maana nzito
Nakupenda unapotabasamu
Nakupenda unapokuwa na huzuni
Nakupenda nyakati zote katika maisha yako nakupenda sana si kitoto
Huenda ukadhani sipo serious nawe ila tambua kumtamkia mtu neno nakupenda kwangu nikama kuingia jahannam bila shaka u kama pepo kwangu ndio maana nakutamkia naomba tupendane kwa dhati tusahau mapito
Katika ulimwengu mzima wenye mabillioni ya watu hakuna anayenivutia kimapenzi zaidi yako
Hata ikitokea ujue sipo serious kama nilivyo kwako nakupenda kwako nipo kwenye penzi zito
Sijaanza kukupenda leo,nitakupenda kesho na nitakupenda kila siku Iitwayo leo kwa uwezo wa Muumba sitokuja kukuacha na dua nazidisha kwake anitunzie moyo wako
0 Comments