Ad Code

Responsive Advertisement

NIPE_UPENDO.

 #NIPE_UPENDO.

❤️Moyo wangu umerubuniwa na penzi lako. ♥️Sijui kwa nini na kwasababu gani gafla tu najikuta nakupenda mi mwenzako♥️. Hua naishiwa nguvu ninapo isikia sauti yako, ♥️mlevi mimi sioni mwengine zaidi ya wewe tu uzuri wako.


♥️ Umbo lako mwenzio hoi taabani nikuonapo. ❤️Nikupe nini m2 kama wewe ili uhisi nipo ndani ya moyo wako. ♥️Nikupe upendo,♥️ nikupe sifa niliteke penzi lako.♥️ Nikupe hisia..ujue nimedata na dunia yako ...♥️oooohhh wawoooo...❤️nimekumbuka ki2...♥️Nimetokea kukupenda mi mwenzako.♥️



💝Kila nikikuangalia naisi kaupendo fulani.💝 Ukweli nashindwa kukuambia ,💝 naogopa kataliwa jamani, 💝Mipango njama usiku kucha nakuwaza wewe wa moyoni.💝 Nawaza nikupe zawadi gani ili uniamini.💝 Ukweli nakupenflda na sitarajii kukuacha maishani.....💝I love you so much Mwaaaaaaaaaa....my Darling.💝
May be an image of 1 person, standing, outdoors and tree
Reactions

Post a Comment

0 Comments