|>>>>>>>>>>>>>>>>>|
Siku zote nitakukumbuka mpenzi wangu.
Uendako naomba unikumbuke usije niadhibu kwa makosa yangu.
Najua mimi sio wa kwanza kunisahau ni rahisi sana kwa tabia zangu,
najua ipo siku mbele za watu utaukana moyo wangu.
Najua ipo siku nitalia peke yangu.
Safari haina dhamana abilia plz nichungie mzigo wang.
Nisije nikalia kama mara ya kwanza nilivyo ibiwa dhahabu yangu.

0 Comments