
Dear, hakika wewe kwangu ndie chaguo langu la maisha.

Hata niwe na wapenzi mia ukiacha wewe hisia zangu hakuna wa kuziridhisha.

Ndomana nakupenda,

nakujqli na kukuthamini bila ya kukuficha.

I love you mpenzi wangu,

i need moyoni mwangu i kiss you kutoka mdomoni

Naomba tuwe wote pamoja kipenzi.

Mimi nipo tayari kwa
lolote juu yako laazizi.

Sita kusaliti wala kukudanganya mpenzi.

Niamini pia nipe moyo wako niutunzi kwa makazi. Nakupenda...

na sitaacha kukupenda dunia hili naweka wazi

. I swear, you my every thing mpenzi.

For your love i'm going to be crazy

.Dear nothing can happen wthout you...bora nivae kitanzi.

Mwaaaaa...mpenzi...mwaaaaa....mwaaaaa...nakupenda.

0 Comments