Ad Code

Responsive Advertisement

SAIKOLOJIA_YA_MAPENZI ..


...........................................................................
💚Muda wote baby njaa inauma, 💚Mbona ile hela niliokuomba bado hujaituma.💚 Kama utaki kunipa vitu vyako basi sema mapema.💚 Mara ooh baby nataka dawa tumbo laniuma.💚 Mara ooh baby mbele nimepachoka leo nataka nyuma. Sitakuja kama nauli hujatuma.💚 Chunga sana hizo kauli mapema.💚 Hakuna upendo hapo wana saikolojia ndo wanavyo sema.💚

💗Kila mara baby nimemis tuonane.💗 Muki wasiliana asubuhi ndo kimya mpaka jioni. Sms mbili naisi usingizi jamani.💗 Mara namba unayo piga inatumika mmh anaongea na nani! 💗Hana aibu akiwa chumbani.💗 Dakika mbili hoi tabani! Mtu wa mwingi utani, 💗majibu mafupi yanakatisha tamaa jamani.💗 Mtu wa kuropoka hana aibu hadharani. 💗Mchafu dk mbili harufu chumbani. 💗Mmmh kuanae mbali my honey.. 💗hakuna upendo hapo youpo sana kimasilahi.💗 Sio mwandish bali saikolojia ya mapenzi ndo imeweka wazi.💗

May be an image of 1 person
Reactions

Post a Comment

0 Comments