**************************************

Utakapo ondoka chunga sana kipenzi changu

, ukumbuke umebeba roho,

mwili na maisha yangu. Najua utanimis nami nitakumis sana honey wangu

. Ukumbuke hakuna wakunitia moyo wala faraja zaidi ya wewe sweety wangu.

Sina wakunishauri wala wakunipongeza dear wangu.

Uwendako ukibadili maamuzi utaumiza sana mtima wangu.


Natambua kwako ni faraja ila kwangu maumivu

. Utakapo ondoka mbaali moyo umekumbwa na
wivu.

Kua makini na safari yako wasije kukubeba wachovu.

Mara chubu mchubuo wakakutoa makovu.

Mi nakutegea urudi salama wangu my love

. Chunga ubishi wa kuni mbichi mkaa kua majivu.

0 Comments