Ad Code

Responsive Advertisement

KIPENZI_CHANGU


..............................
❣️Leo nainjoy kwa upendo wako kipenzi, ❣️nafarijika kwa rahara unazonipa bila kinyongo na simanzi,❣️ Hakika kwako umeniteka siwezi kufuru mwenyezi,❣️ I love you kwenye maisha yangu kuacha siwezi, ❣️Niamini nakupenda, ❣️nitakujali na kunitunza kipenzi...❣️Kwako mi SAwa na mfungwa...na we ndo gerezan langu la mapenzi.❣️
💕Ninafarijika ninapo liona tabasamu lako,💓 moyo wanidundadunda ninapokua karibu y'ako,💓 mpenzi usiwe na shaka nimeumbwa kwa aji y'ako, Mifupa waachie paka..nifaidi mi ndo mnofu wako,💓 Hawapendi tukipata roho zawawaka moto, 💓DAIMA sitakutupa mi ndo wa ubavu wako.💓 Usisikilize kelele za bata ...💕We fata mambo yako. 💓Ila usisahau mpenzi ...💕upendo ndo kila kitu kwako.💓
Upate...through..wasap, Facebook, tiktok na google
No photo description available.
All 
Reactions

Post a Comment

0 Comments