Sitamani kwenye moyo wako upate majonzi,
Sitamani nikutese mpaka ukose usingizi,
Sitamani nikudanganye Wala nikusaliti mpenzi,
Sitamani nilione lako chozi ,
Sitamani nikuumize mpenzi, Hakika nakupenda wewe na kukuacha siwezi...
Namaanixha kuwa Mbali na wewe siwezi,
nishazoea mautundu y'ako raha utamu wa Nazi.
Naona raha nikiwa nawe napata kausingizi...Leo eti nikuache...au nikusaliti mbona kama nitakuwa chizi
FROM:
Smart njoine.

0 Comments